Loading...

HABARI YA MAJONZI NA MASIKITIKO MAKUBWA, JESHI LA POLISI LAFANYA KAZI YAKE




JESHI la Polisi mkoani Geita, limemtia mbaroni mkazi wa Kitongoji cha Elimu Kijiji cha Igate Kata ya Nzera wilayani humu, Yusuf Kalobezi (30), baada ya kudaiwa kutoroka kutokana na tuhuma za mauaji ya mkewe, Dotto Frederick (25).
Mauaji hayo yalifanywa Septemba 18, mwaka huu saa 2:00 usiku nyumbani kwa mtuhumiwa na inadaiwa baada ya kitendo hicho, mwili wa marehemu ulifichwa uvunguni mwa kitanda na mtuhumiwa kutokomea kusikojulikana.
Kamanda wa Polisi mkoani Geita, Mponjol Mwabulambo, alithibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo.
Kamanda Mwabulambo alisema mtuhumiwa huyo alikatwa Oktoba mosi, mwaka huu saa 9:00 alasiri eneo la machimbo ya Mwambu Kijiji cha Mulanda kilichopo Kata ya Buseresere wilayani Chato.
Alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akiishi mafichoni kwa siku 15 tangu afanye kosa analotuhumiwa.
Kamanda Mwabulambo alisema uchunguzi wa kitabibu ulibainisha kuwa marehemu alinyongwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni nguo kabla ya mwili wake kufichwa uvunguni.
Inadaiwa kuwa chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa mapenzi baada ya mume kumtuhumu mkewe kupata fedha bila kubainisha njia halali iliyompatia.


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mwanga Mpya | Designed By BAKI NASI
Back To Top